YANAYOENDELEA MOROGORO MUDA HUU KATIKA UWANJA WA JAMHURI KABLA YA WAKAZI WA MOROGORO KUTOA HESHIMA ZAO ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA ANAYETARAJIWA KUZIKWA LEO MKOANI HUMO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

YANAYOENDELEA MOROGORO MUDA HUU KATIKA UWANJA WA JAMHURI KABLA YA WAKAZI WA MOROGORO KUTOA HESHIMA ZAO ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA ANAYETARAJIWA KUZIKWA LEO MKOANI HUMO


Pichani juu ni maandalizi ya ndani ya Uwanja wa Jamhuri atakapoagwa msanii Albert Mangweha leo kabla ya mazishi yatakayofanyika nyumbani kwao Kihonda.

KUFUATIA umati wa watu uliojitokeza jana kuupokea mwili wa msanii Albert Mangweha, wanafamilia, ndugu, jamaa na uongozi wa serikali ya mkoa wa Morogoro kwa pamoja wameamua shughuli za kuaga mwili wa msanii huyo zifanyike ndani ya Uwanja wa Jamhuri badala ya nyumbani kwao marehemu eneo la Kihonda Mazimbu Road kama ilivyokuwa imetaarifiwa hapo mwanzo.

Kwa sasa mtandao huu uko ndani ya Uwanja wa Jamhuri tayari kwa kukuletea matukio mbalimbali yanayoendelea uwanjani hapo.

(Picha na Dustan Shekidele / GPL,  Morogoro)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages