BOMU LALIPUKA ARUSHA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA NA KUUA WATU WAWILI HAPOHAPO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

BOMU LALIPUKA ARUSHA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA NA KUUA WATU WAWILI HAPOHAPO

 Hii ndio hali halisi kwa sasa huko Arusha
 Baadhi ya watu waliopatwa na mahafa ya mlipuko huo wakiwa wanasaidiwa na wasamalia wema
Habari zilizotufikia hivi punde kutoka chanzo chetu cha habari kutoka jijini Arusha zinasema kwamba kitu kinachosadikika kuwa ni bomu limelipuka kwenye mkutano wa chadema jijini Arusha limeua watu wawili na kujeruhi wengine. 
 
Na gari la hospitali limevunjwa vunjwa vioo na watu wanaosadikika kuwa na  hasira kali baada ya kuchelewa kuwachukua majeruhi hospitalini wakati hali zao ni mbaya. Na hivi sasa watu wanatumia magari yao binafsi kuwapeleka majeruhi hospitalini . Napia kamanda mkuu wa mkuu wa mkoa wa Arusha yuko kwenye eneo la tukio lakini bado hajangea na vyombo vya habari.Mpaka sasa mlipuko huu chanzo chake hakijajulikana.


TAARIFA ZAIDI UTAZIPATA MUDA SIO MREFU KAA NASI

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages