Waigama, Matinyi, Kiboko waelezea maana ya Kichuri. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Waigama, Matinyi, Kiboko waelezea maana ya Kichuri.

 Mubelwa Bandio wa Changamoto Yetu Blog akifanya mahojiano na Mwenyekiti wa kamati ya Kichuri Day Bwn. Waigama siku ya Jumamosi May 25, 2013 Ellicott City, Marylnd.
 Mubelwa Bandio akifanya mahojiano na Kiboko (T-shirt nyekundu) na Mobhare Matinyi.
Wakurya wakicheza Ritungu

Wakurya waishio maeneo ya Washington DC na vitongozi vyake, jumamosi ya Mei 25 mwaka huu walikutana na kwa mara ya kwanza ya kujuana, kujadiliana kuhusu kabila lao na pia kula chakula cha kikwao.

Katika siku hiyo waliyoiita Kichuri Day, kulikuwa na mambo mengi yaliyoakisi maisha yao ya nyumbani Tanzania ikiwemo chakula, muziki wa kikwao n.

Mubelwa Bandio anayo taarifa kamili.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages