AFISA MTENDAJI MKUU WA TTCL DKT. KAMUGISHA KAZAURA ATOA MADA KUHUSU MKAKATI WA TTCL KUSAMBAZA MAWASILIANO YA KAZI KATIKA MAJENGO NCHINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

AFISA MTENDAJI MKUU WA TTCL DKT. KAMUGISHA KAZAURA ATOA MADA KUHUSU MKAKATI WA TTCL KUSAMBAZA MAWASILIANO YA KAZI KATIKA MAJENGO NCHINI

IMG_0036Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada hiyo kwa umakini.IMG_0042Afisa Mtendaji mkuu wa TTCL Dkt. Kamugisha Kazaura akiwasilisha mada kwenye mkutano huo, kushoto ni Eng. Samuel D. Shila kutoka kampuni ya Service Consult Ltd na kulia ni Bw. Mringi Kitaly kutoka Msafiri Infrastructure and Mining Solution.IMG_0063Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dkt. Kamugisha Kazaura akifafanua jambo kuhusu mkongo wa taifa wa mawasiliano kwa waandishi wa habari na wateja waliotembelea katika banda la TTCL.
IMG_0057Dkt Kazaura (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa bi. Josephine Mwakapugi kuhusu huduma zitolewazo na TTCL. Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Dkt. Kamugisha Kazaura ametoa mada kuhusu mkakati wa TTCL kusambaza mawasiliano ya kasi
katika majengo nchini wakati wa mkutano wa bodi ya Usajili  wa Makandarasi ( Contractors Registration Board (CRB) ambapo pia bodi hiyo ilikuwa ikiadhimisha miaka kumi na tano tangu kuanzishwa kwake. Katika mkutano huo uliohudhuriwa na makandarasi takribani 800 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini, Dkt. Kazaura  aliwaeleza nia ya TTCL kusambaza mawasiliano ya kazi katika majengo mbalimbali hapa nchini na kuomba ushirikiano wa hali ya juu kutoka kwa makandarasi kujenga majengo ambayo yatakuwa yamewezeshwa tayari kuunganishwa na huduma za mawasiliano ya kasi ” Broadband Ready Buildings”.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages