SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZAFANA SANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZAFANA SANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR LEO



 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiingia uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam leo kuongoza Watanzania kusherehekea miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Pamoja naye kwenye gari hilo la wazi ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange
 Nyomi si ya kawaida hata pa kutema mate hakuna
 Msafara wa Rais Kikwete ukizunguka uwanja wa Uhuru
Nyomi ya leo. Taswira zingine na kumwaga baadaye.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages