Rais Jakaya Kikwete Akifurahia Jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kitaifa Bernard Membe - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Rais Jakaya Kikwete Akifurahia Jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kitaifa Bernard Membe

Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa  Kitaifa Mh. Bernard Membe muda mfupi baada ya kufungua mkutano  wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika jana  jijini Dar es Salaam, ambacho ni kikao cha  368 na  katika ajenda zake  pia kitazungumzia mgogoro wa Madagascar.Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages