EXCEL WITH GRAND MALT YATIKISA VYUO VIKUU MKOANI IRINGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

EXCEL WITH GRAND MALT YATIKISA VYUO VIKUU MKOANI IRINGA

 Katibu Tawala wa wilaya ya Iringa Elvin Mwakajinga (katikati) akisaidiana kupanda Miti katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa, na Meneja wa Kinywaji cha Grandmalt, Consolatha Adam (kushoto) na Meneja Mauzo wa Grandmalt mikoa ya Iringa, Njombe na Songea, Raymond Degela. Upandaji mitio huo ni sehemu kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
 Meneja wa Kinywaji cha Grandmalt, Consolatha Adam akipanda mti  ikiwa ni sehemu kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini Mkoani Iringa wakipanda chuoni hapo, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Tumaini na Ruaha vya Mkoani Iringa wakichuana vikali katika Mpira wa Netball kwenye Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Tumaini na Ruaha vya Mkoani Iringa wakichuana vikali katika Mpira wa Basketball kwenye Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
 Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Tumaini na Ruaha vya Mkoani Iringa wakichuana vikali katika Mpira wa Basketball kwenye Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
Msanii wa Mziki wa kizazi kipya nchini Joh Makini akiwapagawisha wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya mkoa wa Iringa kwenye Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
 Wanafunzi wa vyuo vya Vyuo Vikuu  vya Mkoani Iringa wakishangilia na kufuatilia tamasha hilo jana

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages