BREAKING NEWS:Mahakama ya Rufaa Yatupilia Mbali Rufaa Ya Kupinga Ushindi Wa Mbunge wa Arusha Mjini -Chadema Godbless Lema na Kuamuru Wakata Rufaa Kulipa Gharama Zote Za Kesi. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

BREAKING NEWS:Mahakama ya Rufaa Yatupilia Mbali Rufaa Ya Kupinga Ushindi Wa Mbunge wa Arusha Mjini -Chadema Godbless Lema na Kuamuru Wakata Rufaa Kulipa Gharama Zote Za Kesi.

 Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema. Godbless Lema
--
Ombi la kwanza la waleta rufani la kutaka review ya uamuzi uliotolewa na mahakama ya rufaa juu ya kesi ya Mh.Lema na kutaka isikilizwe na jopo la majaji 7 limetupiliwa mbali leo katika mahakama ya rufaa na sasa ni majaji walewale waliotoa hukumu wamepitia ,Mahakama imetupilia mbali madai ya kwanza kwa kuwa hayapo based on merits Kesi hii ilifunguliwa tena baada ya Mh.Lema kushinda rufaa tarehe 21 desemba 2012,Warufani safari hii walitaka mahakama ipitie upya uamuzi uliotolewa na jopo la majaji watatu na wametaka kuwe na majaji saba.

Mahakama imetupilia mbali mashtaka yao na mahakama imewaamuru tena wakata rufaa walipe gharama zote za kesi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages