Rais Jakaya Kikwete Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Botswana uliowasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Botswana Mhe Pandu Skelemi Leo Ikulu jijini Dar es Salaam. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Jakaya Kikwete Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Botswana uliowasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Botswana Mhe Pandu Skelemi Leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

    Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Botwana Mhe Pandu Skelemi baada ya kupokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa nchi hiyo  leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Botswana uliowasilishwa na  Waziri wa Mambo ya Nje ya nchi hiyo Mhe Pandu Skelemi leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Botswana uliowasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje ya nchi hiyo Mhe Pandu Skelemi leo Ikulu jijini Dar es salaam.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages