Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Atembelewa na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Atembelewa na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa

  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiagana na kiongozi wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa Bw. Akinyemi Adegbola baada ya mazungumzo yao huko Ofisini Kwake Migombani Zanzibar. Kushoto ni Mjumbe wa Umoja huo ofisi ya Zanzibar bibi Njeri Kamau.
  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na ujumbe wa Umoja wa Mataifa huko Ofisini Kwake Migombani Zanzibar. Kushoto ni kiongozi wa ujumbe huo Bw. Akinyemi Adegbola.Picha, Salmin Said-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages