TAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI ,BAGAMOYO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

TAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI ,BAGAMOYO

  Baadhi ya wasanii wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni(TaSUBa) wakitoa burudani wakati washerehe za mahafali ya 23 ya taasisi hiyo zilizofanyika leo katikaukumbi wa maonesho ya taasisi hiyo. 
 Mtoto mwenye umri wa miaka 4 Nyambuli Mganga akiwa na kikundi cha sanaa na utamadunikijulikanacho kwa jina la Utandawazi Theatre Group MatwighaChalo kutoka Nansole Ukerewe akionyesha umahiri wake wa kucheza ngoma ya Ukerewe inayojulikana kwajina la Obusimbula katika meza kuu ,ambaye amekuwa kivutiokutokana na kucheza kwake mwenyewe bila kuelelezwa wakati maonesho ya 31 ya Tamasha na Sanaa na Utamaduni liliyofanyika katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TAsuBA) iliyopo Bagamoyo, mkoa wa Pwani ,. Nyambuli ambaye anarithi utamaduni huo kutoka kwa mama yake, Wiliherimina Kebela . Maonesho hayo yamaeambatana na Sherehe za mahafali ya 23 yataasisi hiyo.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni(TaSuBa), Profesa Elias Jengo ambaye ni Mhadhili wa taaluma hiyo katika Chuo Kikuu cha Dares Salaam(UDSM),akimpatia cheti mhitimu wa Stashada ya Sanaa na Utamaduni , Charles Kiswaga katika mahafali ya 23 ya yaliyofanyika kwenye ukumbi wa maonesho chuoni hapo. Katikati Mtendaji Mkuu wa taasisi hiyo Juma Bakari na kulia ni Mkuu wa Idara ya Taaluma Michael Kadinde.
 Baadhi ya wahitimu wa Stashahada ya Juu ya Sanaa na Utamaduni wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSuBa), Profesa Elias Jengo (kushoto) ambaye ni Mhadhili wa taaluma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), aliyeko katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana ,Utamaduni na Vijana, Profesa Hermas Mwansoko na kulia kwake ni Mtendaji Mkuu wa taasisi hiyo, Juma Bakari.Wengine ni baadhi ya wakufunzi
Kikundi cha sarakasi kutoka nchini Ethiopia kijulikanacho kwa jina la Umoja kikionyesha umahiri wake wa kucheza mtindo huo wakati sherehe za mahafali ya 23 yaliyoyofanyika jana(juzi)s katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni(TaSUBa) iliyopo Bagamoyo mkoani Pwani. Sherehe hizo ziliambatana na Tamasha la 31 la Sanaa na Utamaduni.Picha na Maelezo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages