PINDA AZINDUA KITABU CHA WANASAYANSI 31 MABINGWA WA KITANZANIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

PINDA AZINDUA KITABU CHA WANASAYANSI 31 MABINGWA WA KITANZANIA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyesha kitabu kiitwacho Lighting Fire kilichoandikwa na wanasayansi 31 Mabingwa wa Kitanzania baada ya kukizindua kwenye ukumbi wa Tume ya taifa ya Sayansi na Tekinolojia, Kijitonyama jijini Dar es salaam Agosti 2, 2012. Kushoto ni  Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Profesa  Makame Mbalawa na Kulia ni Rais wa Tanzania Academy of Science (TAAS), Profesa Esther Mwaikambo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Profesa, Idris Kikula baada  ya kuzindua  kitabu kiitwacho Lighting fire kilichoandikwa na  wanasayansi 31 mabingwa wa kitanzania, kwenye ukumbi wa Tume ya Taifa ya Sayansi  na Teknolojia, Kijitonyama jijini Dar es salaam Agosti 2, 2012. Kushoto ni Mkamu Mkuu wa Chuo Kikuu  Huria cha Tanzania, Profesa  Tolly Mbwete. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages