KUTOKA MJENGONI KWA WATUNGA SHERIA MKOANI DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KUTOKA MJENGONI KWA WATUNGA SHERIA MKOANI DODOMA

Mwingulu Mchemba (kulia) wa jimbo la Iramba Mashariki akibadilishana hoja na Mbunge wa Namtumbo Vita Kawawa  Bungeni Dodoma
Maafisa wa Bunge wakifuatilia hoja mbalimbali  za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa Fedha 2012-2013.
Mbunge wa Kinondoni Iddi Azan  (kulia) na Mbunge wa Muheza Hebert Mtangi wakielekea ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma .
Naibu Spika Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela katika viwanja vya Bunge Dodoma,(Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages