RAIS WA ZANZIBAR DKT. ALI SHEIN AFUTARISHA MKOA WA KASKAZINI PEMBA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

RAIS WA ZANZIBAR DKT. ALI SHEIN AFUTARISHA MKOA WA KASKAZINI PEMBA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Ali Mohamed Shein, (wa tatu kushoto) akijumuika na Viongozi na wananchi wa Mkoa wa kaskazini Pemba katika Futari aliyowaandalia katika viwanja vya Ikulu ya Wete pemba jana. 
Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakiwa katika chakula cha Futari waliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Ali Mohamed Shein,katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba jana. Pichana Ramadhan Othman,Ikulu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages