Rais Kikwete na Kamishna wa Maendeleo wa Jumuiya ya Ulaya, Andris Piebalgs Wazindua Mradi wa Maji Mbeya - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Kikwete na Kamishna wa Maendeleo wa Jumuiya ya Ulaya, Andris Piebalgs Wazindua Mradi wa Maji Mbeya

Rais Jakaya Kikwete pamoja na Kamishna wa Maendeleo katika Jumuiya ya Ulaya, Andris Piebalgs wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa MRADI WA MAJI SAFI na usafi wa mazingira katika eneo la Swaya mjni Mbeya. (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages