Mkaguzi wa bodi ya
michezo ya kubahatisha nchini Bw. Bakari Maggid akirekodi taarifa za
washindi 100 wa droo ya siku ya promosheni ya M-PESA waliojishindia Sh.
50,000 kila mmoja baada ya kuchezeshwa na Mtaalamu wa huduma za ziada
kwa wateja wa Vodacom Bi Reenu Verma(katikati) leo jijini Dar es
salaam.. Kushoto ni Meneja Mahusiano kwa Umma na Habari za Mtandao wa
Vodacom Tanzania Bw. Matina Nkurlu.
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)